Mazungumzo baina ya vizazi
Kamati ya dini mbalimbali (inayoundwa na vijana na watu wazima) ilikutana Mkoani mwezi wa Februari kujadili namna ya kutokomeza uvunjifu wa amani. Watu 32 walihudhuria ikiwemo wanawake, vijana, watu wazima na wawakilishi wa serikali.
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.