Kufanya Kazi Pamoja Kwa Ubora
NCA iliandaa mazungumzo kati ya viongozi wa dini na vyombo vya usalama kwenye ukumbi wa Samail Chakechake. Walijadili umuhimu wao katika jamii na namna wanaweza kushirikiana kama walinda amani kutambua viashiria vya migogoro au uvunjifu wa amani.
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.