Kupunguza uchochezi wa migogoro kipindi Cha uchaguzi
Ninatoa wito kwa viongozi wa dini kutokujihusisha katika mambo ya kisiasa hasa kwa kuelemea kwenye chama kimoja anachokipenda na kujielezea sana wakati wa ibada, kwan waumini wengi huwaamini watu wanaowaongoza katika nyumba za ibada, viongozi wa dini watoe mawaidha ya amani na sio kuchochea vurugu
Shiriki