Hapa unaweza kutoa maoni yako kuhusu kushiriki uchaguzi huru, haki na amani
Andika kichwa cha habari cha stori au maoni yako kwanza, kisha bonyeza neno Tuma halafu andika maelezo ya stori au maoni yako
Mfano wa maoni - Kipindi cha redio cha mazungumzo ya amani
Napendekeza kuanzishwa kwa vipindi vya redio vya kijamii kujadili masuala ya uchaguzi huru, haki na amani. Vipindi hivyo viongeze vionjo kupitia nyimbo, ngonjera na mashairi ili kufikisha maudhui sahihi yanaolenga kujenga amani na utengamano wa wananchi.
Mfano - Vitu vinavyotuleta pamoja
Mimi na jirani yangu, mara nyingi hutofautiana kwa sababu ya tofauti zetu za kisiasa lakini haituzuii kujumuika na kushangilia michezo kwa pamoja katika uwanja wa Gombani ! Hii imetusaidia kuepuka mgawanyiko wa kisiasa.
Unatazama orodha ya mapendekezo yaliyotolewa na waandishi wao. Tazama mapendekezo yote.
Hakuna mapendekezo na vigezo hivi.
Shiriki