CHANJO
🐓💉Kumbuka utumiaji wa chanjo ni muhimu mno ili kukinga kuku wako dhidi ya magonjwa nyemelezi kama vile Mdondo, magwa na ndui.
👩🏾⚕️Zingatia maelezo kutoka kwa mtaalamu kabla ya matumizi ya chanjo.
⚠️Mambo muhimu ya kuzingatia ni kama yafuatayo 1️⃣ 🚫🦠 Hakikisha unapotoa chanjo kuku wako hawana maambukizi ya maradhi 2️⃣ 🐣Zingatia umri wa kuku wako kabla ya kutoa chanjo
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.