Ruka hadi kwa yaliyomo kuu

Mipangilio ya kuki

Tunatumia vidakuzi ili kuhakikisha utendakazi msingi wa tovuti na kuboresha matumizi yako ya mtandaoni. Unaweza kusanidi na kukubali matumizi ya vidakuzi, na kurekebisha chaguo zako za idhini, wakati wowote.

Muhimu

Mapendeleo

Uchanganuzi na takwimu

Masoko

Je, unahitaji kuongeza malalamiko? - wasiliana nasi sasa!

๐Ÿ’‰๐Ÿ“RATIBA YA UTOAJI WA CHANJO KWA KUKU WA CHOTARA NA MAYAI

Avatar: Chapisho rasmi Chapisho rasmi

SIKU YA 7 ๐Ÿ—“๏ธ Wapatie kuku wako chanjo ya Mdondo, Magwa Newcastle Vaccine SIKU YA 14 ๐Ÿ—“๏ธ Wapatie kuku wako chanjo ya Gomboro, IBD Gomboro Vaccine SIKU YA 21 ๐Ÿ”„ Rudia chanjo ya Mdondo, Magwa Newcastle Vaccine SIKU YA 28 ๐Ÿ”„ Rudia chanjo ya Gomboro, IBD Vaccine SIKU YA 35 ๐Ÿ—“๏ธ Wachome kuku wako chanjo ya Ndui, Fowl Pox Vaccine

โš ๏ธ๐Ÿฆ  MUHIMU: Zingatia ushauri wa matumizi sahihi kwa kila chanjo pindi uinunueโœ…

Maoni

Ripoti maudhui yasiyofaa

Je, maudhui haya hayafai?

Sababu:

Inapakia maoni...

Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.

Thibitisha

Tafadhali ingia

Nenosiri ni fupi mno.

Shiriki