Ruka hadi kwa yaliyomo kuu

Mipangilio ya kuki

Tunatumia vidakuzi ili kuhakikisha utendakazi msingi wa tovuti na kuboresha matumizi yako ya mtandaoni. Unaweza kusanidi na kukubali matumizi ya vidakuzi, na kurekebisha chaguo zako za idhini, wakati wowote.

Muhimu

Mapendeleo

Uchanganuzi na takwimu

Masoko

Je, unahitaji kuongeza malalamiko? - wasiliana nasi sasa!

MAHITAJI YA CHAKULA CHA SIKU KWA KUKU 100 πŸ”

Avatar: Chapisho rasmi Chapisho rasmi

πŸ“… 0 - 8 wiki = 🐣 6 kg za chakula cha vifaranga πŸ“… 9 – 16 wiki = πŸ₯ 9 kg za chakula cha wanaokua πŸ“… 17 - 19 wiki = πŸ“ 10-11 kg za chakula cha wanaojiandaa kutaga πŸ“… 20 wiki na kuendelea = πŸ₯š 12-13 kg za chakula cha kuku wanaotaga

⚠️ Angalizo: Ni muhimu kufuata ratiba ya ulishaji wa kuku wako kwa usahihi ili uweze kuepuka kulisha kuku wako kwa hasara. πŸ“Œ Ratiba hii ni kwa kuku chotara na wa mayai tu.

Maoni

Ripoti maudhui yasiyofaa

Je, maudhui haya hayafai?

Sababu:

Inapakia maoni...

Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.

Thibitisha

Tafadhali ingia

Nenosiri ni fupi mno.

Shiriki