UFUGAJI WENYE TIJA Nilianza kufuga kuku wa mayai 20 na sasa ninafuga kuku 30 wa mayai na kuku 20 wa nyama
UFUGAJI WENYE TIJA
Ufugaji wa kuku umekua na manufaa kwangu tungu nilipoanza kufuga hadi sasa, ninao kuku hamsini kutoka kuku ishirini na pia ninao kuku wa nyama arobaini
Shiriki