Ruka hadi kwa yaliyomo kuu

Mipangilio ya kuki

Tunatumia vidakuzi ili kuhakikisha utendakazi msingi wa tovuti na kuboresha matumizi yako ya mtandaoni. Unaweza kusanidi na kukubali matumizi ya vidakuzi, na kurekebisha chaguo zako za idhini, wakati wowote.

Muhimu

Mapendeleo

Uchanganuzi na takwimu

Masoko

Je, unahitaji kuongeza malalamiko? - wasiliana nasi sasa!

10 mapendekezo

CHANGAMOTO NINAZOPITIA Changamoto ni ukosefu wa chakula cha kuku, uhaba wa madawa pamoja na chanjo
CHANGAMOTO Baadhi ya changamoto ninazozipitia katika ufugaji ni ukosefu wa chakula cha kuku na madawa ya kuwatibu kuku
CHANGAMOTO dawa za kuku kubwa za bei Upatikanaji wa chakula cha kuku bei ya juu
CHANGAMOTO Changamoto nyingi hutokea znazosababisha hasara kama maradhi , vifo, madawa na upatkanaji wa chakula
CHANGAMOTO NILIZOPITIA Upatikanaji wa masoko ,maradhi,vifo,upatikanaji wa vyakula na madawa
CHANGAMOTO Tumain cooperative shumba vyamboni changamoto zinazotukabili ni Banda chakavu.
UFUGAJI BORA WA KUKU. Changamoto zangu katika ufugaji wa kuku ni chakula na madawa
UFUGAJI WENYE TIJA Nilianza kufuga kuku wa mayai 20 na sasa ninafuga kuku 30 wa mayai na kuku 20 wa nyama
MARADHI YA KUKU, Ufugaji unakuwa na changamoto sana hasa hasa kipindi cha jua kali na mawingu kuku wanapata maradhi.
Sickness
Tazama mapendekezo yote yaliyoondolewa

Thibitisha

Tafadhali ingia

Nenosiri ni fupi mno.

Shiriki