Ruka hadi kwa yaliyomo kuu

Mipangilio ya kuki

Tunatumia vidakuzi ili kuhakikisha utendakazi msingi wa tovuti na kuboresha matumizi yako ya mtandaoni. Unaweza kusanidi na kukubali matumizi ya vidakuzi, na kurekebisha chaguo zako za idhini, wakati wowote.

Muhimu

Mapendeleo

Uchanganuzi na takwimu

Masoko

Je, unahitaji kuongeza malalamiko? - wasiliana nasi sasa!

11 mapendekezo

Shiriki
MAPENDEKEZO YANGU. Nca isaidie kuogeza wingi wa vifaranga wa kuku na chakula kwa ujumla
MAPENDEKEZO Tunaomba mutupatie mtaji Elimu ya ufungaji Tuengezewe wahudumu
Tupe mawazo yako
MAPENDEKEZO Kunahitajika elimu zaidi juu ya ufugaji bora pia madawa ya kuku na kutanuliwa masoko ili kurahisisha biashara
TUMAINI GROUP Providing us with chicken feed, and medicine, education on modern farming practices, and knowledge on how to reduce disease outbreaks
NCA kunisaidia Mimi kuimarisha ufugaji wakuku kibiashara kwakunipatia elimu ya ufugaji wakuku kunipatia msaada wa chakula na huduma za chanjo
MAPENDEKEZO Tunaomba kupatiwa elimu zaidi, mitaji zaidi na kuongezewa vitendea kazi
MAPENDEKEZO Naomba kupendekeza yafuatayo, elimu ya kutosha, madawa ya kutosha, mtaji wa kutosha
PENDEKEZO Kupatiwa elimu ya kufuga idadi kubwa ya kuku na rasilimali za kuweza kuwahudumikia had kufikia lengo
Kutupatia chakula ,madawa , elimu ya ufugaji wa kisasa, elimu ya kupanmbana na miripuko ya magonjwa
Tazama mapendekezo yote yaliyoondolewa

Thibitisha

Tafadhali ingia

Nenosiri ni fupi mno.

Shiriki