JILINDE KUTOKANA NA MATAPELI ππ€π°
βKuwa makini mtandaoni. Jilinde wewe binafsi kwa:
β Katu usijaribu kutoa au kutuma taarifa zako au nywili(neno la siri) kupitia taarifa fupi au barua pepe.
β Kama utapokea ujumbe mfupi ukikutaka utume taarifa hizi, ufuatilie hiyo taasisi husika kwa kupitia mawasiliano yao na ujihakikishie kuwa taarifa hizo ni za kweli.
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.