Ni nini jukwaa la Jamii?
Tukiwa katika jukwaa la jamii, tumekusudia kusikia kutoka kwa watu wengi wanaoshiriki katika shughuli za NCA na kufanya kazi kwa mashirikiano mazuri 🤝
Jukwaa hili la jamii limeundwa ili kusudi kukusanya mawazo mazuri kutoka kwa kila mtu 🙋 ( shughuli mpya au njia mpya za kufanya kazi)
Jukwaa hili la jamii halikuundwa kumkosoa mtu yeyote au kikundi fulani muhimu cha watu!
Important: * Mfumo huu wa kompyuta hausomi majina --watumiaji wengine hawawezi kuona jina lako au nambari zako za simu * Taarifa zote zimehifadhiwa 🛡️. NCA haitoweza kusambaza taarifa zako mahala popote. * Programu hii ya kompyuta haikutengenezwa kiakili bandia-- taarifa zote zinatoka kwenye jopo la wafanyakazi wa NCA au jamii yako!
Unaweza pia ukashiriki kwenye jukwaa kupitia tovuti ya http://nca.voca.city
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.