MAHITAJI YA CHAKULA CHA SIKU KWA KUKU 100 π
π 0 - 8 wiki = π£ 6 kg za chakula cha vifaranga π 9 β 16 wiki = π₯ 9 kg za chakula cha wanaokua π 17 - 19 wiki = π 10-11 kg za chakula cha wanaojiandaa kutaga π 20 wiki na kuendelea = π₯ 12-13 kg za chakula cha kuku wanaotaga
β οΈ Angalizo: Ni muhimu kufuata ratiba ya ulishaji wa kuku wako kwa usahihi ili uweze kuepuka kulisha kuku wako kwa hasara. π Ratiba hii ni kwa kuku chotara na wa mayai tu.
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.