Ruka hadi kwa yaliyomo kuu

Mipangilio ya kuki

Tunatumia vidakuzi ili kuhakikisha utendakazi msingi wa tovuti na kuboresha matumizi yako ya mtandaoni. Unaweza kusanidi na kukubali matumizi ya vidakuzi, na kurekebisha chaguo zako za idhini, wakati wowote.

Muhimu

Mapendeleo

Uchanganuzi na takwimu

Masoko

Je, unahitaji kuongeza malalamiko? - wasiliana nasi sasa!

4 Machapisho

Wiki iliyopita, tulipokea mapendekezo kutoka kwa washiriki 8.
Walikubaliana kwamba NCA inaweza kuimarisha usalama na ushirikishwaji wa jamii kwa kutoa mafunzo ya ujuzi wa kidijitali hasa kwa vijana na watu wazima ili kuhakikisha matumizi salama na taarifa ya mawasiliano ya kidijitali. Hii ni pamoja na kuwasaidia watu jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa kuwajibika na kuwafahamisha wanafunzi kuhusu maudhui yenye madhara au uhalifu kwenye mitandao ya kijamii.
NCA sasa inatayarisha vipindi vya redio vitakavyorushwa kupitia vyombo vya habari vya jamii.
Mojawapo ya mada zitakazojadiliwa ni matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana.Vipindi hivi vinalenga Kuelimisha vijana kuhusu hatari na faida za mitandao ya kijami.Kuwasaidia kutambua na kuepuka maudhui yenye madhara. Pia vinalenga kuhamasisha vijana juu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.
TATHMINI TAARIFA ZA MTANDAONI🧠💻
❌ Usiamini kila taarifa unayoisoma mtandaoni ✅ Angalia kama vyanzo vyingine vya taarifa vinasema taarifa tofauti ✅ Angalia kama taarifa hio ya sasa au ya zamani
UELEWA WA VYOMBO VYA HABARI 🤓🔎💻
🔎💲Makampuni na makundi yakisiasa yanatumia pesa nyingi kutengeneza matangazo yanayoonekana kama ni ya kweli! ✅JIULIZE MASWALI HAYA : 1️⃣🔎 Nani ametuma taarifa hii na vipi wanaweza kunufaika na taarifa hiii? 2️⃣🔎 Je taarifa hiyo imesahau kutaja maoni au mitazamo mbadala?

Thibitisha

Tafadhali ingia

Nenosiri ni fupi mno.

Shiriki