CHANJO
Kumbuka utumiaji wa chanjo ni muhimu mno ili kukinga kuku wako dhidi ya magonjwa nyemelezi kama vile Mdondo, magwa na ndui.Zingatia maelezo kutoka kwa mtaalamu kabla ya matumizi ya chanjo. Mambo muhimu ya kuzingatia ni kama yafuatayo 1. Hakikisha unapotoa chanjo kuku wako hawana maambukizi ya maradhi 2. Zingatia umri wa kuku wako kabla ya kutoa chanjo
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.