KONGAMANO LA UMUHIMU WA MIKATABA YA KIBIASHARA
Kongamano lilishirikisha wadau wa ufugaji wa kuku wa kisasa na wanunuzi. Lengo la kongamano hili ni kutoa ufahamu juu wa umuhimu wa mikataba rasmi katika biashara za bidhaa wanazozalisha wafugaji kama vile mayai na kuku. Miongoni mwa mada kwenye kongamano ni aina za mikataba inayotambulika kwa mujibu wa sheria.Baada ya mafunzo wafugaji walitekeleza mafunzo kwa kuingia mikataba ya kimaandishi.
0 maoni
Ingia au uunde akaunti ili kuongeza maoni yako.